Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Wanachama wa klabu ya Simba wakiwa kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkutano ukiendelea.
Msemaji wa Simba, Haji Manara,  akiongea na wanachama.
Mkutano mkuu wa Klabu ya Simba umeanza muda mfupi uliopita kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ikiwa ni mara ya kwanza mikutano ya aina hiyo ya klabu hiyo kufanyika katika ukumbi wa kisasa.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top