Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Image result for breaking news 
Wabunge wanane wa Chama cha Wananchi (CUF) waliovuliwa uanachama na Mwenyekiti wa Chama hico anayetambulika na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba, wameiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kuweka zuio la wabunge wapya kuapishwa hadi kesi ya msingi waliyofungua itakapoamuliwa.
Aidha wabunge hao wameiomba mahakama kuzuia utekelezaji wa Uamuzi wa Baraza Kuu la CUF kuwavua uanachama.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top