Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017 yametangazwa mabpo Uhuru Kenyatta ameshinda uchaguzi huo kwa asilimia 54% na hivyo kupata nafasi ya kuongoza kwa awamu ya pili.imekuwekea video ya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya, Wafula Chebukati akimtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu kwa kupata kura 8,203,290 (54.27%, zaidi iangalie hapa chini.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top