Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Baada ya kusikika kwenye Uheard ya August 2, 2017  waliokuwa wanandoa Nuh Mziwanda na Nawali wanaodaiwa kutengana baada ya kutoishi karibu kama awali huku Nuh Mziwanda akidaiwa kurudi kwenye dini yake ya zamani.

“Nuh kashantoka nina mume mwingine kwani hamna habari..? mume wangu hataki mambo ya nini nini.” 
 Nuh Mziwanda amepost maneno yanayoashiria kuwa Nawal ameolewa na mtu mwingine baada ya ujumbe wa kumpongeza na kumtakia maisha mema yeye na mume wake huyo mpya huku Nawal akifuta picha zake zote alizokuwa amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram.
”Nimeona Nawal na hongera sana Mungu akusimamie wewe na Mumeo katika ndoa yenu’pia shikamoo bwana harusi mana ulikua unanyapia kitambo sana halafu sijui ‘ndio mana bidada sababu nyingi mradi urudi kwenu ‘kumbe mipango ya ndoa doh’ (kama movie hivi ila )” – Nuh MziwandaFacebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top