Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Kadja Nito.
itoBAADA ya kubadili dini kutoka kwenye Uislam na kuolewa na mwanaume Mkristo, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ hatimaye amembadili dini mtoto wake, Nito ambaye naye alikuwa Muislam.
Chanzo kiliimbia Mikito Nusunusu kuwa, bishosti huyo ameamua kumbadili dini mwanaye Nito ambaye alizaa na mumewe wa awali kabla ya huyu wa sasa, Lisimo, jambo lililomkera baba wa mtoto huyo.
Kadja alipotafutwa kuhusu suala hilo aligeuka mbogo na kujibu kwa hasira:
“Sasa cha ajabu hapo kiko wapi ikiwa mtoto ni wangu na mimi ndiyo minaishi naye tangu akiwa mdogo nilivyoachana na baba yake? Mwanangu kwa sasa ni Mkristo kama mimi na tunakwenda wote kanisani.”


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top