Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Ikiwa imepita siku moja kwa mwanamitindo Hamisa Mobeto kupata mtoto wa kiume hapo jana, habari njema ni kuwa star mwingine kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Esha Buheti amefanikiwa kupata mtoto wa kike
Kupitia mtandao wa Instagram wa msanii huyo ameweka picha ya mtoto wake na kuandika “ALHAMDULILLAH ,,,,,, ITS A BABY GIRL, ASANTE MUNGU KWA ZAWADI HII, ASANTENI WOTEEE KWA DUAAH ZENU MM NA MTOTO TUPO SALAMA ……”
Esha anakuwa ni miongoni mwa mastaa wa kibongo aliopata watoto kipindi cha hivi karibuni ambapo alianza msanii Linah Sanga, akaja na Faiza Ally na Hamisa Mobeto.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top