Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Malkia wa muziki wa Bongo fleva, Dayna Nyange, amesema akipata ujauzito, mashabiki wake wataamua njia gani aitumie kuwafahamisha.
Dayna, alisema kuanika nje tumbo wakati wa ujauzito ni jambo linalowezekana, lakini kwanza atawasikiliza mashabiki na baba mtoto wake.
“Kwa sasa hivi sijaamua kubeba ujauzito, lakini muda ukifika nitaweza kuachia wazi tumbo mashabiki wangu waone. Ninachoangalia nini mashabiki na baba mtoto wangu wanataka.” alisema Dayna.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top