Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Video vixen Bongo, Gigy Money amekanusha tetesi za kuwa na ujauzito.
Gigy Money ambaye ameamua kuingia kwenye muziki na sasa anatamba na ngoma ‘Papa’ kuwa ndoto yake kubwa ni kutoka kimapenzi na msanii Wizkid kutoka Nigeria pengine hapo ndipo utapatikana ujauzito.
“Kipindi cha sasa hivi na Papa ndio nimetoa?, hapana, ujue mpaka yananishtua maneno haya, you know sina mimba lakini labda nina mimba ya Wizkid unajua mimi natamani ikaenda ikashuka tu,” amesema na kuongeza.
“Yeah namkubali, unajua dream sio wote wanatimiza ndoto zao, mimi nimetimiza ndoto yangu, nilisema Tekno moyoni siumeona huyu hapa akajaa,” amesema Gigy Money.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top