Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Kupitia Instagram yake leo August 3, 2017 Faiza Ally amethibitisha kuwa amebahatika kujifungua mtoto, akiweka picha ya mtoto huyo na kuweka maneno ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuandika”ALHAMDULILLAH  @lijunior_well come to the world baby ”
Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top