Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mtu mwenye uzito kupita kiasi
UZITO kupita kiasi ni tatizo linalosababishwa na mambo mengi ikiwemo mitindo ya maisha. Watu wamekuwa wakitamani kupungua kwa kuchoka ile adha ya unene ambayo aghalabu huambatana na maradhi mbalimbali miongoni mwayo ni: kisukari na shinikizo la damu.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top