Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mama Diamond Afunguka Makubwa "Mtoto wa Hamisa Mobetto ni Mjukuu Wangu"
Baada ya Mwanamitindo Hamisa Mobeto kujifungua mtoto wa kiume na story zikisambaa kuwa mtoto huyo ni mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ingawa wenyewe wanazikanusha, sasa leo mama mzazi na dada wa Diamond wamefunguka.

”Hamisa rafiki yangu siyo wifi yangu lazima niwe na furaha kwa sababu kajifungua salama. Wewe ulikuwa unataka nifanyeje? Hizo habari za Diamond mimi sizijui. Niulize mambo yangu. Esma.

“Wewe unanitafuta nini Soudy? Naumwa kifua. Watoto wote ni wajukuu zangu hata wewe mtoto wako ukizaa mjukuu wangu. Wewe mwenyewe mwanangu, mtoto ukizaa mjukuu wangu. Wewe ni shushushu mbona hujafika Hospitali kumuona? Walioniona nimeenda Hospital waambie wakuhadithie vizuri. Mimi namuombea maisha mema alee mtoto wake vizuri kwa amani na furaha.” – Mama DiamondFacebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top