Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza kabla ya ufunguzi wa semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
muwasilishaji mada akiendelea

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kulia) akiongoza nyimbo ya hamasa wakati wa semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
Hamasa ikiendelea

Makatibu wa Jumuiya za Chama cha mapinduzi,(wa kwanza kulia)ndg:Seif Shaaban katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi (pili kulia) Kaimu katibu mkuu Uvccm ndg:Shaka hamdu shaka pamoja na Katibu mkuu wa UWT.ndg: AMINA MAKILLAGI (wa nne kutoka kulia) wakifuatilia kwa umakini semina ya Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha semina ya Mafunzo
elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

washiriki wakiuliza maswali katika Semina Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top