Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Moja ya taarifa ambayo imekuwa gumzo na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na issue ya Mwigizaji Miriam Jolwa maarufu kama ‘Jini Kabula’ anayedaiwa kutokuwa sawa hivyo kuomba msaada kwa watu mbalimbali.Leo August 2, 2017 kupitia kwenye Instgram yake Mwigizaji Jacqueline Wolper ameguswa na hali hiyo na kuamua kuandika maneno kuhusu mwigizaji Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akionesha kusikitishwa na hali yake.Natamani niongee mambo mengi sana juu yako lakini natamani ata kukusaidia urudishe akili yako swali ni kwamba nimechelewa??nakama nimewahi je nitafanikiwa kwelisasa tuzungumze jambo jamani maana siju hizi tarfa tunazipata insta naona nalangu niliongelee insta wanatasnia wenzangu tunamsaidiaje mwenzetu nini kimekuta kipi je nayoyasikia ndio hayo????nakama ndio mbona kuna wataalam wakusena nae naakakaaa sawa.
“Basi watanzania wenzangu naombeni tuchangie maoni yenu hapa nakama nim2 uwezi toa ushauri hapa basi tuma msg kwakupitia cm hii 0765776776 basi tuweze kumrudisha kabula jamaninaandika msg hii huku nalia namoyo mdogo sana usiweza kuvumilia naumivu nakumbuka nimishawahi kumwambia kabula we nimwanamke mzuri sana bongo movie lkn natamani kujua tatizo nini kacheka tuu akachukua nguo akaondoka sikupata muda wakuzungunza nae.
“Sasa npo safarini hope kesho au kesho kutwa nikijaliwa tukutane kwaoamoja .. Bongo movie tumfwate alipo jamani tujue tunamsaidiaje nimeona vdio anaongea sjui niamechanganyikiwa masikn me ata nashindwa kuandika jamani.” – Jacqueline Wolper. 


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top