Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail ThisNaibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi, Hasheem Thabeet
(kushoto), walipokutana kwa ajili ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi. Hasheem Thabeet (wapili kushoto), baada ya mazungumzo ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Wengine ni ujumbe ulioongozana na mchezaji huyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKLALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top