Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya IEBC Wafula Chebukati amemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Urais uliofanyika Jumanne August 8, 2017 ambapo amepata kura 8,203,290 na angalau 25% ya kura katika Kaunti 35.
Uhuru Kenyatta ambaye anarudi kwenye uongozi kwa muhula wa pili amekabidhiwa Cheti cha ushindi pamoja na Mgombea mwenza William Ruto.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top