Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Shirikizo la mpira wa miguu nchini (TFF), limepata uongozi mpya leo baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa shirikisho hilo, kufanya uchaguzi hii leo huko Mkoani Dodoma,
na kupatikana Rais mpya wa Shirikisho ambaye ni Walles Karia aliyeibuka na ushindi wa kishindo wa kura  95, huku Michael Wambura akiibuka kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo kwa Kura 85. Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliopiga kura leo ni 113.
Rais mpya wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Walles Karia 
Makamu wa Rais mpya wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Michael Wambura .


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top