Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail ThisWafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba na wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif, wamezichapa konde Mahakama Kuu Kanda ya Dar leo wakati wa kesi ya wabunge waliofutwa uanachama

Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top