Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Image result for ben pol
Msanii wa muziki Ben Pol amekanusha taarifa ambazo zinazagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba alilipwa tsh milioni 3 na uongozi wa Timamu TV ili afanye kiki na mchekeshaji, Ebitoke. Muimbaji huyo amedai kila kitu ambacho kimetokea kwenye maisha yake akiwa na Ebitoke hakuna lichotengezwa huku akidai yote yalikuwa ni maisha yake halisi.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top