Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Muda mfupi baada ya kutangazwa mshinda na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliofanyika Jumanne August 8, 2017 kwa kupata kura 8,203,290 dhidi ya kura 6,762,224 za Raila Odinga, Uhuru Kenyatta amempongeza mpinzani wake huyo.
Kenyatta ambaye anarudi kwenye uongozi kwa muhula wa pili amempongeza mgombea Raila Odinga akisema katika kila mashindano lazima apatikane mshindi na aliyeshindwa huku akisisitiza umoja ili kuijenga Kenya huku akiahidi kuwahudumia Wakenya wote waliomchagua na wasiomchagua.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top