Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na timu ya Singida United leo mjini Dodoma.

Tazama picha:

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Singida United, kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Kocha wa Singida United Hans van der Pluijm.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top