Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Waziri Dk Harisson Mwakyembe akisalimiana na Mchezaji Wayne Rooey wa timu ya Everton ya Uingereza inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo EPL mara baada ya kikosi hicho kuwasi;li kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu JNIA jijini Dar es salaam Everton inatarajiwa kushuka dimbani kesho kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na timu ya Golmahia ya Kenya mchezo ulioandaliwa na kampuni ya SportPesa.
Baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu hiyo wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili jijini Dar es salaam asubuhi hii
KIkosi cha timu ya Everton ya Uingereza kikiwa katika picha ya pamoja wakati kikishuka kwenye ndege iliyoileta timu hiyo kwenye uwanja wa Ndege wa JNIA jijini Dar es salaam


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top