Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mafundi wakivuta nondo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
MRADI wa Ujenzi wa barabara za juu ((Interchange) Ubungo uliowekewa jiwe la msingi na Rais John Magufuli miezi kadhaa iliyopita umeanza kujengwa.
Nondo za ujenzi

Ujenzi huo unafanyika katika makutano ya Barabara za Morogoro, Nelson Mandela na Sam Nujoma.

Mafundi wakiwa kazini

Kamera yetu ya Global Publishers imefanikiwa kupata matukio mbalimbali yanayoonesha ujenzi huo ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana katika picha.


Ujenzi ukiendelea.

Mradi huo unalenga kupunguza msongamano wa magari katika barabara  hizo.


Magari yakiwa kazini.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top