Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Image result for sahara media group
Ofisi za Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa(RFA) zimefungwa na TRA kwa deni la Sh. Bilioni 4.5. 

TRA wamewaondoa Studio wafanyakazi wote. Kwa sasa vituo hivyo vinarusha matangazo ya BBC.
Kwa sasa vituo hivyo vinarusha matangazo ya BBC


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top