Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno Miles ametangaza kuja na mpango wa kuwasaidia wanafunzi na wajasiriamali wadogo.
Kwa mujibu wa tweet zake msanii huyo ametangaza kiasi cha fedha cha nchi hiyo, naira milioni 5, kwa awamu ya kwanza kusaidia wajasiliamali kuinua mitaji yao na wanafunzi kuwalipia ada ya shule.


Pia ameaidi kutoa kiasi cha N 100k kwa wanafunzi watano wenye uwezo zaidi, vile vile ameiadi kiasi cha N200k kusaidia Dr Dolnad Nwosu kutibu ugonjwa wa kansa (pichani juu).


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top