Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Hatimaye klabu ya soka ya Everton ya Uingereza imewasili rasmi muda huu katika uwanja wa ndege J.K Nyerere kwa ajili ya mchezo wake na Gor Mahia ya Kenya siku ya kesho (Alhamisi) katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hiyo imewasili na kocha wao Ronald Koeman pamoja na wachezaji wao wote akiwemo Wayne Rooney aliyasajiliwa wiki iliyopita akitokea Manchester United. Hizi ni picha za timu hiyo zilivyowasili uwanja wa ndege.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top