Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Ramadhani Shebuge (aliyezungushiwa mstari mwekundu).
Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Ramadhani Shebuge (mara nyingi husimama pembeni mwa Rais wakati wa viapo), amefariki dunia.
Mwili wa Marehemu utaswaliwa leo nyumbani kwake Mbagala Majimatitu kabla ya kusafirishwa kwenda Korogwe kwa ajili mazishi yatakayofanyika hapo kesho katika kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top