Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper amaamua kufanya kweli kwa kudhihirisha kupata mrithi wa Harmonize wa WCB.

Wolper ameamua kumuweka hadharani Bff wake anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya aitwaye Brown, katika mtandao wa Instagram mrembo huyo ameweka video wakiwa 0-distance.

00:00
00:10
‘But why Bff punguza kidogo#out #happy #no commen,” ameandika Wolper. Mwamaume huyo siku chache zilizopita alipost picha akiwa na mrembo huyo kitandani.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top