Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail ThisKUFUATIA kusumbuliwa na matatizo ya mara kwa mara ya kiafya, mwanamama mkali wa Bongo Muvi, Wastara Juma anaonekana kukata tamaa na kusema kwamba, amechoka kuumwa hivyo ni heri akamfuata marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ aliyefariki dunia yapata miaka minne iliyopita.

Wastara aliiambia 3-Tamu kuwa, amekuwa akipitia maumivu makali kiasi cha kutamani kumfuata Sajuki aliyezaa naye mtoto mmoja kabla ya kutangulia mbele ya haki.

“Kiukweli nateseka sana kutokana na kuumwa mara kwa mara, kuna wakati naona heri nimfuate Sajuki,”alisema Wastara ambaye hivi karibuni aliripotiwa kuwa hoi akitakiwa kufanyiwa upasuaji wa mgongo.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top