Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao ulimfanya kutulia bila kazi, sasa anakuja na wimbo ambao utawafanya
wanamuziki wenzake wanyooke.

Akipiga stori na  alisema kwa mwezi mzima wa Ramadhani ametuliza akili vya kutosha na kuandaa ngoma kali anayotarajia kuiachia hivi karibuni, hivyo wanamuziki wengine wajipange.
“Wanamuziki wajipange maana nina ngoma kali itakayotoka hivi karibuni, ikiwa ni baada ya kukaa kimya kwa muda kutokana na mwezi mtukufu, lakini kwa sasa umeisha hivyo nakuja kwa kasi ya ajabu,” alisema Shilole.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top