Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Staa wa Muziki wa Pop, Beyonce Knowles akiwa na Kim Kardashian.
ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu staa wa Muziki wa Pop, Beyonce Knowles kujifungua mapacha (Rumi na Sir), chini ya kapeti inaelezwa kuwa aliyekuwa rafiki yake wa karibu, Kim Kardashian amemtembelea.
Chanzo kinaweka wazi kuwa, Kim ambaye ni mwanamitindo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashian, aliamua kufanya siri kumtembelea Beyonce kwenye makazi yake katika Fukwe za Malibu kwa ajili ya kuwaona
mapacha wake aliojifungua. Kwa kipindi kirefu, Kim na Beyonce wamekuwa mbali kisa kikidaiwa kuwepo kwa bifu kati ya Kanye na Jay-Z.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top