Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Ikiwa ni miezi kadhaa toka Jacqueline Wolper atengane na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Harmonize wa WCB, muigizaji huyo ameachia picha zikimuonyesha akiwa na kijana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake mpya.
Muigizaji huyo hakuweka wazi sababu ya kuachana na mpenzi wake wa zamani Harmonize ambaye kwa amepata mpenzi wa kizungu.
Jumapili hii, Wolper amepost picha za kijana huyo aitwaye Brown na watu walifuatilia zaidi wakagundua kwamba ni mpenzi wake baada ya kupatika picha moja wakiwa kitandani.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top