Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa Filamu nchini, Shamsa Ford amedai ataendelea kunenepa kwa kuwa anapendwa kwa vitendo.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Shamsa ameandika, “acha niendelee kunenepa tu, amani na furaha niliyokuwa nayo inatosha vingine tutavitafutaga tu hakuna aliyezaliwa na utajiri”.
Ameongeza kuwa, “Hata nifanye diet na mazoezi sitopungua kabisaa kamoyo kangu kametulia na kameridhika, kupendwa kwa vitendo raha jamani, alhamdulilah,”amemaliza kwa kuandika.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top