Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Watu mbalimbali wameendelea kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.  Harrison Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha mke wa Dr. Mwakyembe, Linah George  aliyefariki akiwa Aga Khan Hospital Dar es salaam.
Miongoni mwa waliofika kutoa pole ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top