Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwakilishi wa Global Publishers na Dar Live, Juma Mbizo (wa tatu kutoka mbele) akipita kuaga mwili wa marehemu Seth Katende aka ‘Bikira wa Kisukuma’ leo viwanja wa Leaders Club Dar.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akitoka kuaga mwili wa marehemu Seth Katende.
Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob (aliyeko mbele) akiwa na viongozi mbalimbali wakipita mbele ya jeneza.
Mfanyakazi wa Efm akilia kwa uchungu.
Msanii Shilole akipita mbele ya jeneza.
Rapa wa kike Chemical (mwenye rasta) akipita na wasanii wengine mbele ya jeneza.
Meneja wa Burudani wa Maisha Basement, Hemedi Kavu (HK) mwenye miwani, akifuatiwa na mwanamuziki Msaga Sumu, wakipita mbele ya jeneza.
Mwigizaji Daudi Michael Duma (mwenye miwani) akipita mbele ya jeneza.
Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol (mwenye miwani) akipita mbele ya jeneza.
Wasanii mbalimbali waliofika viwanjani hapo.
Polepole akiongea jambo msibani hapo.
MWILI wa marehemu Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni, umeagwa katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya kumalizika kwa shughuli hizo, safari ya kuelekea kwenye makazi yake ya milele, kwenye Makaburi ya Kinondoni ilianza ambapo hatimaye maziko yamefanyika mchana wa Juni 12, 2017.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top