Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Komediani wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ akiwa katika pozi.
…Akiwa kwenye pozi la mbinuko wa aina yake.
…Akiwa kakumbatia mti.
…Kaumbatia mkoba.
KOMEDIANI wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (19) anayefanya vizuri zaidi kupitia mitandao ya kijamii alipitia mambo mengi ikiwemo kufanya kazi za ndani ‘house girl’. Komediani huyo amekuwa kivutia baada ya picha zake kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki zake wakiendelea kumpongeza kwa mapozi yake anayoyaonesha katika picha zake.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top