Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


TAARIFA njema ikufikie popote ulipo kuhusu beki kisiki wa Yanga, Kelvin Patrick Yondani ambaye ameamua kuachana na ukapera.
Mkali huyo alianza kwa Send Off kisha akamalizia mambo na mzazi mwenzake ambaye ameishi naye miaka mingi.
Yondani anaingia kwenye orodha moja na wanasoka kama Emmanuel Okwi, Ibrahim Ajib, Mwinyi Kazimoto ambao ni wanacheza Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hongera Yondani kwa kuamua kufanya kweli.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top