Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top