Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


UINGEREZA: Mwanamama, Arafa Nassib mwenye umri wa miaka 48 amehukumiwa kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka miwili na miezi sita kwa kosa la kudanganya kuwa amefariki ambapo cheti chake cha kifo kinaonyesha alifia visiwani Zanzibar.Mwanamke huyo alimuelekeza mtoto wake wa kiume kuzitaka Mamlaka kumpatia Bima yenye thamani ya zaidi ya milioni 398.
Mahakama imebaini kuwa mwanamke huyo alikuwa akidaiwa mkopo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 234 ndipo aliposafiri kwenda Zanibar na taarifa kutoka zikidai amefariki katika ajali ya gari.Makachero walipofuatilia lilipo kaburi lake ndipo walipoambiwa kuwa Mwanamke huyo yuko nchini Canada.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top