Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Hit maker wa Jike Shupa, Nuh Mziwanda amewashukuru wahudumu wa hospitali ya Mwananyala kwa kumfanyia upasuaji salama.
Muimbaji huyo amedai amefanyiwa upasuaji wa shingo baada ya kupata maumivu makali shingoni.
“Thanks Jesus ’thanks MY SUPER DR KIWALE BINGWA kabisa wa upasuaji ‘Na MWANANYAMARA HOSPITAL kwa surgery (Upasuaji)uliokua chini ya shingo yangu’ bila kusahau MAMA yangu na ndugu zangu waliokua pamoja na mimi.naomba Maombi yenu Mashabiki wangu nirudi katika hali yangu na Kazi ziendelee.Love you,” aliandika Nuh Instagram.
Hata hivyo haijajulikana mara moja alikuwa anasumbuliwa na nini.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top