Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwimbaji staa wa Bongofleva Mo Music baada ya kuamua kuweka nguvu na pesa akishirikiana na Baba yake Mzazi kuwekeza kwenye biashara ya Mahindi sasa staa huyo ametangaza kuja na biashara nyingine.
Mo Music na kayasea haya:”Nimekaa miezi mitatu nyumbani nikiwa namuuguza Baba yangu ambae alikuwa kama msimamiziwa biashara zilizokuwa nyumbani kama mashine ambayo ilikuwa ikitengeneza unga wa kusaga.
“Lakini kiukweli tulikuwa na mpango pia wa kufanya biashara ya vitungu, Karoti, Tangawizi tutakuwa tunatoa bidhaa hio Mikumi ninsingependa kuanika kila kitu hapa, pia sasa hivi mimi kama mwanafamilia tunaingia kwenye biashara kubwa sasa ambayo ni Madini tunacheza na kasi ya Rais Magufuli hatutegemei sana Manejimeti kwahiyo sasa hivi tunaingia kwenye level nyingine.” – Mo Music.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top