Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii mkongwe wa Bongo Flava, Juma Nature ametoa mtazamo wake kwa namna anavyoona game ya muziki huo kwa sasa.
Juma Nature ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa game ipo vizuri ili kumekuwa na tatizo la wasanii kuigana style katika vitu vingi.
“Game nzuri tu sema watoto wanaigana hiyo ndio tofauti ninayoiona mimi. Wanaokaza nadhani kwa asilimia kubwa ni wale wanaoimba hip hop hata nikisikiliza mashairi yao, style zao, beat zao wanakaza, kama Mr Blue, Young Dee na Young Killer nawaeleza kwa sababu watu wote watuwezi tukapenda kitu kimoja,” amesema Juma Nature.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top