Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


STAA wa sinema za KibongoEsha Buhet amefunguka namna anavyoteswa na kisirani cha mimba hivyo kuwaomba watu wamsamehe pindi atakapowakwaza.
 
Akizungumza na 3-Tamu , Esha alisema kuwa mimba aliyonayo inampa kisirani hivyo inawezekana akawa anawaudhi baadhi ya marafiki na ndugu zake, lakini ni vyema wakaelewa hali aliyonayo kuwa ni ya mpito hivyo wamsamehe.
“Hali niliyonayo ni ya mpito na huwa inakuja na mambo mengi, hivyo ndugu zangu na jamaa zangu nawaomba wanisamehe sana kama ikitokea nikawaudhi maana naona mimba inanipeleka puta,” alisema Esha.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top