Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa muziki anayefanya poa Bongo na Mamtoni, Diana Exavery ‘Malaika’.
MSANII wa muziki anayefanya poa Bongo na Mamtoni, Diana Exavery ‘Malaika’ hivi karibuni aliwashtua mashabiki wake baada ya kupiga picha mbili za kingono, kitu ambacho hawakukitarajia kutoka kwake.

Picha hizo ambazo ni kinyume na maadili ya Kitanzania zinamuonesha binti huyo aliyejaaliwa kuwa ni figa matata akiwa ameacha wazi sehemu ya kufua chake baada ya kuvaa nguo ambayo ni kama hakuwa amevaa kitu.
Awali, staa huyo alitupia picha moja mtandaoni ikiwa imeacha wazi eneo lake hilo nyeti lakini inadaiwa baada ya watu wake wa karibu wanaojiheshimu kuiona, walimjia juu na hivyo kuamua kuiondoa haraka.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top