Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mrembo Hamisa Mobetto anazidi kuzichukua headlines tangu ilipojulikana kuwa ni mjamzito mpaka ujauzito wake kuhusishwa na Diamond Platnumz mpenzi na mzazi mwenzake na Zari The BossLady na raundi hii amepost picha akiwa Nairobi na kuandika Mama Dee.

Kwenye post nyingine Hamissa alipost picha akiwa na dada pamoja mama mzazi wa Diamond Platnumz na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa kwa kuandika This Day Last year .Happy Birthday My love ..Allah akupe umri mrefu uishi miaka teley…. Nakupenda mama#NapokeaMatusiYaJumlaNaRejaRejaFacebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top