Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mapenzi Mubashara. Amber Rose na rapper 21 Savage ni kama ndege wanapokuwa mtini.
Mastaa hao ndio couple ambayo imekuwa ikiteka vichwa vya habari kili kukicha hivi karibuni.
Wawili hao ambao wamekuwa wakionyesha mapenzi yao wazi wazi wanazidi kufurahia maisha yao mapya huku kila mmoja akisahau machungu aliyowahi kuyapitia kwenye mahusiano.
Amber (33) na Savage (24) wamedaiwa kumwaga fedha Jumatatu hii katika klabu moja ya usiku Club Crucial iliyopo mjini Atlanta. Wapendanao hao wanadaiwa kumwaga takribani kiasi cha shilingi 49,231,993 kwa fedha za kitanzania.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top