Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Kijana Brown anayedaiwa kwa sasa kutoka kimapenzi na Jackline Wolper ameamua kuwajibu waliokuwa wakitaka kumharibia kwa mpenzi wake huyo.
Kupitia mtandao wa Instagram Brown ameandika “love when people share me down it’s like they have nothing better to do but it makes me feel better and I look that damn good. Sorry I forgot to tell you that she don’t give a Fu*k ….cz yesterday I told u guys if you think of destroying me is your mission it won’t happen anytime or anyhow.”
Siku za hivi karibuni kulisambaa picha za kijana huyo akiwa na mwenzake wamepiga picha ambayo imelea utata katika mitandao.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top