Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Ndege ya kampuni ya Air Asia X yenye namba D7207, iliokuwa ikielekea nchini Thailand maeneo ya Kuala Lumpur, imejikuta ikilazimika kurudi ilikotoka baada ya kuwapatia wasiwasi abiria kuripotiwa kuonekana kwa miale ya moto.
Siku ya jana katika ndege hiyo ilikuwa na abiria wapatao 359 na wafanyakazi 14, ililazimika kutua katika mji wa Brisbane nchini Australia katika uwanja wa ndege wa Gold Coast Airport, kwa ajili ya usalama zaidi baada ya kuonekana kwa miale ya moto katika ndege hiyo.
Kwa mujibu wa masemaji wa ndege hiyo Ndugu.Benyamin Ismail amesema kuwa mabaki ya ndege (wanyama)wawili walipatikana
wakiwa mamekufa katika ndege hiyo, Pia masemji huyo ameongeza kuwa kampuni yake inafanya utaratibu wa kuwasafirisha abiria walikuwepo katika usafiri huo.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top