Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Nahodha wa timu ya taifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta leo kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa amekuwa balozi wa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albinism).

Kupitia ukurasa wake wa instagrama Samatta aliandika “Nimefurahi kuwa balozi wa watu wenye ualbino tanzania.Nipo tayari kuwalinda na kushawishi watu wengine waendelee kuwalinda pia” Samatta


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top