Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali wa Mwaka 2017 kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Hamad Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Naibu Waziri akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angeline Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mbunge wa Bukombe Mhe.Dotto Biteko akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.Salma Kikwete akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mshindi wa Tuzo ya Stephen Thomas Award Bw.Samwel Edward Mwanyika mwenye ugonjwa wa Down Syndrome akionyesha tuzo yake Bungeni baada ya kushinda tuzo hiyo ya Dunia nchini Uingereza kwa kupiga picha inayovutia leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.Wengine ni Mama yake Bi.Sophia Mshangama na Kaka yake Ndg Elias Mwanyika
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Walimu na wanafunzi kutoka Sekondari ya Nyangao kutoka Mtama Mkoani Lindi wakiwa Bungeni kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top