Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Walikokaa ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa katikati , Adam Melele Maarufu kama “Swebe” Mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM kulia , Vida Msuya Afisa Uhifadhi wa wateja Multchoice kushoto NA nyuma waliosimama ni Salum Salum Meneja Mauzo Multchoice kulia na Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria wakipozi kwa picha katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam wananchi mbalimbali wanakaribishwa kutembelea banda hilo ili kupata huduma mbalimbali kutoka Multchoice.
Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Omary Kopa na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa wakipozi kwa picha waliosimama nyuma kutoka kulia ni Salum Salum Meneja Mauzo Multchoice, Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria na Vida Msuya Afisa Uhifadhi wa wateja Multchoice.
Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania Alpha Mria kulia, Vida Msuya Afisa Uhifadhi wa watejaMultchoice na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa katikati wakiweka mambo sawa ili kuhudumia wateja wanaotembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Ikafika zamu ya kuangalia kidogo burudani ya TV kama ilivyo DSTV na Full Burudani kwa vipindi vyake mbalimbali na maridadi.
Vida Msuya Afisa Uhifadhi wa wateja Multchoice, Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa na Adam Melele Maarufu kama “Swebe” Mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM kulia wakiweka mambo sawa ili kufanya mahojiano ya moja kwa moja katika banda hilo.
Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la Multchoice wakipata huduma mbalimbali.
Wafanyakazi wa Multchoice wakiendelea kutoa huduma katika banda lao.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top